Isaiah 32:6


6 aKwa kuwa mpumbavu hunena upumbavu,
moyo wake hushughulika na uovu:
Hutenda mambo yasiyo ya kumcha Mungu,
na hueneza habari za makosa kuhusu Bwana;
yeye huwaacha wenye njaa bila kitu,
na wenye kiu huwanyima maji.
Copyright information for SwhKC